Chupi/Boxer ni hatari ki-afya

Sioni faida ya chupi iwe Usiku au mchana, ni anasa tu! Pesa ya kununulia chupi ingekusanywa ingeweza kufanya mambo ya maana sana kuliko kuvaa nguo za ghali ambazo zimefichwa ndani, ni ukichaa fulani hivi.
 
lala uchi kipindi cha popo bawa.asubuh utakuta umevunjiwa mayai km trei hivo
 
Hakuna lolote hawa wanataka kuhamasisha ngono tu mbona tunavaa boxer na hatuoni hayo madhara
 
Mkuu, hujawahi kuona ukiwa umelela usiku halafu jamaa akawa katika ubora wake anavyohangaika kuchungulia nje kama umevaa boxer au ch*pi.

Yaani utadhani mpiga chabo mfupi anavyohangaika kupiga chabo katika dirisha refu.
 
Sioni faida ya chupi iwe Usiku au mchana, ni anasa tu! Pesa ya kununulia chupi ingekusanywa ingeweza kufanya mambo ya maana sana kuliko kuvaa nguo za ghali ambazo zimefichwa ndani, ni ukichaa fulani hivi.
Duuuh... kwahiyo mkuu wewe huvaagi?
 
Back
Top Bottom