Chupi/Boxer ni hatari ki-afya

b191

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
742
1,031
Habari wanajamvi..

Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote.

Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya bacteria.



Nawasilisha.
 

Attachments

  • 1470809937489.jpg
    1470809937489.jpg
    151.7 KB · Views: 104



whats app 0712505049
uume legelege
kukosa hamu
uume kusinyaa
kuwai kumaliza
 
Hivi kuna watu wanavaa chupi hadi leo? mimi nalala mtupu kabisa boxer navua sitaki problems
 
Ata ivyo wanaume hatuvaagi chupi labda wew tu..! Wanaume ni boxer bana chupi ni za madada
Mimi nimeona hoja iliyokuwepo kwani chupi haziuzwi madukani? ila mimi nilishahama huko siku nyingi probaply 20 yrs back
 
Back
Top Bottom