figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
usiumize kichwa sana. kwa kua unayo na umechukua uwamzi mzuri kuihifadhi. ukifika wambie nmeanua nguo ya mtu so mwenye nao akaichukue nmeirudisha. ukinyamaza unaweza fanya mwenye nayo asiivae tena. miafigganigga ni kwamba kistaarabu kuanza kuikagua chupi ya (huenda ya mke wa jamaa yangu nilipofikia, ujasiri huo sina!Labda unipe akiba ya maneno ikiwa mma ndiyo vipi! Na ikiwa dabwada ndy vipi !
Shem wajua ziko mzigo zingine hazibebwangi na tarishi ?
Huo utaufata mwenyewe.
Yaani napata picha mume
wa mwenye pichu akushuhudie ukiirudisha hiyo nguo. Dah, na wakenya
wanajuaga watz ndo mabingwa wa uchawi. Wakikuuliza wewe wa wapi waambie
mmasai, ukitaja wa sumbawanga ama tanga kwisha kazi.
Na kweli mtu wangu respect ya pants mi naona nikuanika ndani.
Kama ulikuwepo vile kwa kicha yangu!
Fikirio hilo King'asti halikunikwepa kuja akilini !
Btw karibu ukule nyama karanga! Alafu vile zimekarangwa kwa standad natamani ukuje tukule tugedha bwanaa!
Watamgawanaje? Atarejeshwa in pieces.
sasa shem.....wakati unarudi hebu pitia hapo Kericho.....kuna mazakari yangu niliacha hapo..... fanya kunifikishia tafwa'adhali.....
Shem nawewe tafaa'zwali usintie majaribuni !
Shem unanibania pua mno!
Afu unanipinduliapindulia macho!
Shem mie rijjaly ujue?
Ohooo!
Lawama hii !
Yan watamgombania kama nguo mnadan mwishowe inachaanika ndo mana namwambia arudi na wala asimpelekee mwenye nayo aitupe tuuWatamgawanaje? Atarejeshwa in pieces.
Ha ha ha aah!! Ungeonekana wakati unarudisha pangechimbika...Nilirudi nayo late hrs na nikakuta washaanua nikaidrop majanini chini ya kamba, asubuhi around sa3 nilipotoka nje haikuwapo.
kwakweli meitazaama tuu hii thread nkakaa kimya mim ila nataka ona tuu hiyo safari naona yaleta majanga tuu hebu fanya hima urudi staki kukukosa hapa hata kiduchuu mme wangu we peleka kwenye kamba au tupa chin
Be very keen on wat u write ntaanzisha timbwili hapa