MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,244
Habari za Wakati huu,
Ndugu wadau najua hii ni sehem ni sehem ambayo naweza kuomba mchango japo wa mawazo kisha nikafanikiwa
Ombi langu Leo naomba unisaidie mwenye mawaailiano na kiwanda cha Maji, ambacho naweza Kutoa oda Nikatengenezew Maji Special.
kiwanda hicho kiwe Arusha /Moshi, maana Mimi niko Babati -Manyara.
Sent using Jamii Forums mobile app