MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
kitu ambacho nimeshindwa kujirekebisha kabisa kwenye ni "kinyongo" huwa nina kinyongo sana esp nijue kabisa hapa nadanganywa na nina hakika unanidanganya then hutki kuniambia ukweli bado mbishi tu na bac hapo kinyongo changu hakiishi, ukitaka kiishe niambie ukweli, eg wakati ule nilipomfumania alianza maelezo akitanguliza uongo uongo fulani kujitetea nilimshikia bango na ndio ingekuwa mwisho wetu ule lakini alivyosema ukweli roho ilitulia na kinyongo kikaisha, cpengi kudanganywa nikijua nadanganywa...kitu kingine ni "ukali" hili watu wengi esp mr huwa ananiambia mie mkali, lakini kila mwenzangu anaponiambia nipunguze cjijui naupunguzia wapi au nianzie wapi, hapa cjuagi kabisa nifanyaje....kingine ni kulalamikiwa bila sababu maalum, mr ana ile tbia kama akikucal/sms umeshindwa kujibu kwa wakati maalum bac hapo tatizo tayari, ntahicwa/shutumiwa kwa kila aina ya jambo.
Mie kwakweli na hasira za haraka limenifanya mara nyingi nionekane mkorofi,lakini huwa sijui kuweka kinyongo nikikasirika ntakwambia na ndio imeisha huwezi nisikia nakumbushia makosa yaliyopita.
sasa sijui na hii ni tabia mbaya na imenishinda kuacha kabisa, huwa napenda kuwa muwazi sana kwa mweza wangu wakati mwingine huwa najikuta nimemueleza vitu ambavo nahisi sikutakiwa kusema,ukikuta sio muelewa basi ndo kinabebewa bango mwaka wote.
Napenda sana kuwa na marafiki zangu na wakati mwingine huwa nasahau kuaga basi tifu lake, taratibu siku izi nimejifunza kuaga ingawa wakati mwingine bado najisahau.
Sipendi kununa na sipendi kununiwa wajameni! napenda kuwa na furaha wakati wote, ikitokea naichukulia kama changamoto tu
Nathamini sana napokuwa naagwa,
jaribu tu kusema hata kwa ufupi tu.................
usiondoke kimya kimya kwani kwa kufanya hivyo,
wengine tunaona kama umetudharau/hutujali...............
dada yako nae nyumbani ana tabia hii kwakweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kiukweli tunagombana sana kwenye hili, lakini maisha inabidi yaendelee kusonga!!!
kitu ambacho nimeshindwa kujirekebisha kabisa kwenye ni "kinyongo" huwa nina kinyongo sana esp nijue kabisa hapa nadanganywa na nina hakika unanidanganya then hutki kuniambia ukweli bado mbishi tu na bac hapo kinyongo changu hakiishi, ukitaka kiishe niambie ukweli, eg wakati ule nilipomfumania alianza maelezo akitanguliza uongo uongo fulani kujitetea nilimshikia bango na ndio ingekuwa mwisho wetu ule lakini alivyosema ukweli roho ilitulia na kinyongo kikaisha, cpengi kudanganywa nikijua nadanganywa...kitu kingine ni "ukali" hili watu wengi esp mr huwa ananiambia mie mkali, lakini kila mwenzangu anaponiambia nipunguze cjijui naupunguzia wapi au nianzie wapi, hapa cjuagi kabisa nifanyaje....kingine ni kulalamikiwa bila sababu maalum, mr ana ile tbia kama akikucal/sms umeshindwa kujibu kwa wakati maalum bac hapo tatizo tayari, ntahicwa/shutumiwa kwa kila aina ya jambo.
Sasa mpenzi duh.............Mr ana-cope vipi na hili lako?? hasa ukali maana hilo la kinyongo ataavoid kwa kuwa mkweli but la ukali??!!
Mie kwakweli na hasira za haraka limenifanya mara nyingi nionekane mkorofi,lakini huwa sijui kuweka kinyongo nikikasirika ntakwambia na ndio imeisha huwezi nisikia nakumbushia makosa yaliyopita.
sasa sijui na hii ni tabia mbaya na imenishinda kuacha kabisa, huwa napenda kuwa muwazi sana kwa mweza wangu wakati mwingine huwa najikuta nimemueleza vitu ambavo nahisi sikutakiwa kusema,ukikuta sio muelewa basi ndo kinabebewa bango mwaka wote.
Napenda sana kuwa na marafiki zangu na wakati mwingine huwa nasahau kuaga basi tifu lake, taratibu siku izi nimejifunza kuaga ingawa wakati mwingine bado najisahau.
kuhusu kinyongo cku hizi ameshajua, huwa anajua akiwa mkweli kwangu huwa nasamehe hapo hapo, hilo la ukali kwa kweli cjui nitalifanyaje, najitahidi kujishusha but kuna waakti inabidi nipande tu kutokana na tukio.
And why dont you do what she likes?? compromise au kama huko unakokutana na marafiki ni mbali na home kuwa haitawezekana kwenda na kurudi basi uwe unaweka siku chache chache za kukutana na hao marafiki wa mbali!Baada ya kazi napenda sana kukaa na marafiki tukiwa tunapata moja baridi moja moto. Jambo hili mwenza wangu hapendi tabia hii anapenda nifike home before sitting on table.
Unajua ndg yangu ninapoishi ni mbali na ninapofanya kazi, muda wa kutoka kazini barabarani kunakuwa na folen ya kufa mtu. Hivyo tunashtukia wengi tunaoishi mbali tunapendelea kukaa mahali tukisubiria mabari yapungue barabarani ndo twende home kwa raha. Mwenzangu analijua hilo ila sometimes huwa analalamika.And why dont you do what she likes?? compromise au kama huko unakokutana na marafiki ni mbali na home kuwa haitawezekana kwenda na kurudi basi uwe unaweka siku chache chache za kukutana na hao marafiki wa mbali!
Unajua ndg yangu ninapoishi ni mbali na ninapofanya kazi, muda wa kutoka kazini barabarani kunakuwa na folen ya kufa mtu. Hivyo tunashtukia wengi tunaoishi mbali tunapendelea kukaa mahali tukisubiria mabari yapungue barabarani ndo twende home kwa raha. Mwenzangu analijua hilo ila sometimes huwa analalamika.
Ni kweli nyamayao, kuhusu hacra sasa itabidi ajitahidi kukuelewa na pia kama unavyosema huchangiwa pia na tukio so at least uko kwenye safe side kuwa kuna baadhi ya matukio huyapandishii kiviiile........ but also ukipandisha unareact vije? Usije ukawa ukipandisha basi anakula matusi kuanzia yeye mpaka kuku wa kujijini kwao. ....hii si hacra nzuri.
- kuna ulazima wa kupeana passwords i.e simu, email, bank nk? Binafsi nachukulia hiyo kama invasion of my privacy japo sina la kuficha. Sijui nyie wenzangu mnaichukuliaje hii?
Nadhani kuaminiana kunatosha badala ya kutaka chunguza kila sms, simu na email ya mwenza.