Napenda kuchati kitu ambacho hapendi. Muda wote vidole vinaniwasha. Lol!
Mbona unataja tabia zangu....., 🙂Bado sijapata mwenza wa ukweli Mbu. Sasa hapa nita ungama nini? Labda nisome vya wenzangu. Ila nahisi mi nimbishi kweli sipendi kushindwa halafu natamani mwanaume mwenye akili za kiume. Sio mwanaume hawezi kuamua mambo na kufanya mambo kama mwanaume. Haya ndo namsubiri sijui atatokea lini.
Tupa ndoano!Mbona unataja tabia zangu....., 🙂anyway ukipenda Chongo utaita Kengeza...., kwahiyo ukipenda kweli hakuna negatives zitakazokushinda utazoea tu na kuzipuuzia.
sipendi kutoka mwenzangu yy apenda kutoka. so mara nyingi huwa tunalumbana hapo.
mmmhhh..... 🙂Tupa ndoano!
Maungamo hua yanawasogeza/rudisha watu karibu na Mungu....haya hapa yatawasogeza wale wafananao/wapendezanao!!Surely Mbu ataelewa!!Voice hapo juu, unasema je Kaka? Kwamba hizo ndo tabia zako sio. Ok wakati ndo huu, hebu fuata ushauri wa Lizzy hapo. Mbu usinimaindi kaka sijaharibu thread ila naungama.
Bado sijapata mwenza wa ukweli Mbu. Sasa hapa nita ungama nini? Labda nisome vya wenzangu. Ila nahisi mi nimbishi kweli sipendi kushindwa halafu natamani mwanaume mwenye akili za kiume. Sio mwanaume hawezi kuamua mambo na kufanya mambo kama mwanaume. Haya ndo namsubiri sijui atatokea lini.
Mbona unataja tabia zangu....., 🙂
anyway ukipenda Chongo utaita Kengeza...., kwahiyo ukipenda kweli hakuna negatives zitakazokushinda utazoea tu na kuzipuuzia.
Asante alafu ninapenda kweli watu wabishi ambao hawataki kushindwa... 🙂Voice hapo juu, unasema je Kaka? Kwamba hizo ndo tabia zako sio. Ok wakati ndo huu, hebu fuata ushauri wa Lizzy hapo. Mbu usinimaindi kaka sijaharibu thread ila naungama.
Hahahhahhah...bwoi!!Well ili nisichukiwe kwa kuchakachua thread ya Mbu ngoja niungame angalau kitu kimoja japo nilishapanga ntakua mwangaliaji tu.Siku chache zilizopita nimeambiwa kwamba NAFIKIRIA SANA na kuchambua mambo kupitiliza kwahiyo mwenzangu inabidi awe mwangalifu kweli na anayosema!!mmmhhh..... 🙂
Nakubaliana nawe VoiceOfReason.
Ila, si rahisi kutekelezeka kama ilivyo kuelezea. Labda tuanzie hapo kwenye kupenda ukweli, maana yake nini?[/QUOTE
Unajua unapompenda mtu mapungufu yake yote unayapuuzia (ukizingatia hakuna mtu asiye na mapungufu), lakini pale unapoanza kumchoka au penzi linapoanza kuwa baridi ndipo unapoanza kutafuta visingizio..., kwamba huyu sijui siku hizi yukoje..., kumbe ni kwamba badala ya kumuangalia kwa jicho la upendo sasa unaanza kumuangalia kwa chuki na ku-concentrate kwenye mapungufu yake.
Asante alafu ninapenda kweli watu wabishi ambao hawataki kushindwa... 🙂
Rogi....samahani we ni mkaka au dada? na uhusiano wenu uko kwenye stage ipi?sipendi kutoka mwenzangu yy apenda kutoka. so mara nyingi huwa tunalumbana hapo.
Kweli kabisa nadhani sometimes couples ambao wapo opposite wanafaa zaidi sababu kubishana na kutokukubaliana kunaleta a lot to talk about kuliko kuangaliana na kukubali kila kitu. Kwahiyo ukipata mtu ambae mnadebate na kutofautiano mtazamo maybe hiyo inaweza ikawa ni sababu ya kuwaunganisha.LOL, Japo inaonekana kana kwamba umeiandika kiutani, ukweli kuna baadhi ya nyumba kila siku wao ni kelele na majibizano tu. Almuradi kila mtu analitoa lililo rohoni, siku zinakwenda na maisha yanaendelea.