Nimesoma comments lakini sijaelewa kitu mahala. Kwani vijana wanaosoma wakila bata wanakuwaje? kama ni tatizo si wale hata kuku au bata mzinga!! au ni lazima vijana wale bata tu wakiwa wanasoma? au huko mijini bata ni wengi kuliko kuku. Kwa kweli bado najiuliza.Acha uoga......mbona bata zipo sana tu
utaelewa tuu wakati ukifikaNimesoma comments lakini sijaelewa kitu mahala. Kwani vijana wanaosoma wakila bata wanakuwaje? kama ni tatizo si wale hata kuku au bata mzinga!! au ni lazima vijana wale bata tu wakiwa wanasoma? au huko mijini bata ni wengi kuliko kuku. Kwa kweli bado najiuliza.
Sup zinakuwa za kufikiaWala bata chuoni asilimia kubwa wachezea sapu!
We kula bata tu uchezee sapu na Cary za kutosha!!!
Yaani niko > 40 bado unasema umri ukifika, sikuelewa si kwa sababu ya umri mdogo but labda lugha hiyo ina maana yake.utaelewa tuu wakati ukifika
Bata ni neno linalotumika kujumuisha starehe aina yoyote ileYaani niko > 40 bado unasema umri ukifika, sikuelewa si kwa sababu ya umri mdogo but labda lugha hiyo ina maana yake.
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi, kama ni hivyo basi suala ni kubalance starehe kidogo na muda mwingi uwe wa masomo.Bata ni neno linalotumika kujumuisha starehe aina yoyote ile
OK sawaMkuu asante sana kwa ufafanuzi, kama ni hivyo basi suala ni kubalance starehe kidogo na muda mwingi uwe wa masomo.
sasa hv maji yapo collage zoteBata lake maana yake mnatembea km mabata adi darasani.. humanities ad chimwaga na kutembea kuchota maji kisimani.hahaha[emoji3] Bata lake labda kuvaa Lile joho
Subiri yaanze kusumbua.saiz badobadosasa hv maji yapo collage zote
Wewe sahau bata maisha yako yote sio hapo chuoni tu
Hii ni kozi ambayo utakua unasoka kila siku hata baada ya kumaliza chuo.software engineering
Dogo piga shule ila weekend mara moja moja uwe unaenda kula batatoka nikiwa o level huu ndio msemo maarufu wa wanafunz was vyuoni, basi na mm nikaingia nikijua chuo bata, but within 3 weeks sijaona bata zaidi nawaza kuongez msuli zaidi ya advance.
Hebu mliokuwa mkisema bata mnifafanulie pengine mm ndio nilikuwa sielewi
Mara ya mwisho kusoma tuition nilikuwa kidato cha 3yani una wiki tatu tu chuoni unaanza sema kisomo cha chuo kigumu we nazani ushazoea kusoma tuition ndio maana unaona chuo kigumu
pangilia mambo yako vizuri utafanya vyema ila usiamini et kusoma sana kama umepanic vile ndio itakusaidia kukwepa sup na disco hiyo hapana
Kwa hyo ni kozi ambayo maisha yote lazima uwe unasoma ili kuendana na vitu vipyaHii ni kozi ambayo utakua unasoka kila siku hata baada ya kumaliza chuo.
Leo php imepitwa na wakati itakubidi usome javascript na node js ili uendane na kasi ya soko.
sasa kama ndio hivyo kwanini sasa chuo uone kigumu yani kwa mtu ambaye ashazoea kujisomea mwenyewe mambo mengi chuo hakumshindi na awezilialia kama wewe hali hiyo unasoma software engineering vipi ungesoma mechanical engineering si ungesharudi wewe..... kwanza course yenyewe ushaambiwa ni "soft" ware engineering sasa itakuwaje hardMara ya mwisho kusoma tuition nilikuwa kidato cha 3