Mercenary Army
JF-Expert Member
- Jun 2, 2017
- 296
- 689
Wakuu 3rd round application ya vyuo nilibahatika kuchaguliwa vyuo viwili,Mwl.Nyerere Academy na Muslim University,ila baada ya kupata code kutoka tcu bas nikaconfirm Mwl.Nyerere,ila nmeingia kwenye akaunt yang ya chuo cha MUM nmekuta wameconfirm bila ridhaa yangu, je nifanye nini wakuu??, msaada tafadhali