Baada ya kujichanga kwa muda mrefu sana mwezi wa 6 nategemea kuvunja kibubu kuchukua kagari ka kupiga nako misele town.
Kwa hiyo wakuu naomba anayejua chuo kizuri cha udereva chenye ada nafuu na ratiba isiyobana anipe Muongozo.
Napendelea kiwe wilaya ya Ubungo.
Muda wa mafunzo uwe wikend.
Natanguliza shukrani.
Sent using
Jamii Forums mobile app