Chuo kizur cha Airticketing DSM.

Chuo kizur cha Airticketing DSM.

Wonder

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
166
Reaction score
47
Jaman wana jamvi msaada wenu plz naomba yeyote mwenye kujua chuo kinachotoa koz hiyo hp juu anijulishe plz nataka nikaongeze maujuz kidogo labda angalau 2naweza kunyakuliwa,natanguliza shukrani.
 
kunyakuliwa kwenda ktk ulimwengu wa kazi.
 
Kaka...chuo kizuri kuliko vyote ni Mackair travel academy na amadeus...fuatilia hivyo hutojutia...pia ada zake sio haba
 
asante@kdm naomba direction ya hvyo vyuo bac nikapate kuwaona its urgent!.
 
Back
Top Bottom