Bluray,
..watetezi wa hoja kwamba chuo hicho kijengwe ktk mikoa ya pembezoni wanaamini kwamba kitatoa fursa za kiuchumi kwa wananchi wa maeneo hayo.
..vilevile wanaamini kwamba kujengwa kwa chuo ktk maeneo hayo kutalazimisha kujengwa kwa supporting infrastructures kama hospitali,shule,barabara,uwanja wa ndege etc.
..wengine pia wanaamini wananchi wa sehemu hizo ambazo tunasema "zimesahauliwa" watajisikia "vizuri" and part of a "larger Tanzanian-family" kwa mradi kama huo kupelekwa karibu na maeneo yao. wanadai hii itajenga umoja wa kitaifa.
..nakubaliana na approach yako kuhusu suala hili, but sometimes it is hard not to empathise na wananchi wa hii mikoa ya pembezoni.
..wasiwasi wangu ni kwamba unaweza kujenga chuo hicho huko pembezoni halafu wananchi wa maeneo ya karibu wakabaki kuwa watazamaji tu wakati wanaosoma hapo ni vijana toka maeneo ya mbali.
NB:
..leo hii ukiwapa wananchi wa Kigoma/Lindi/Mtwara/Tabora hayo mabilioni yaliyopangwa kujenga chuo cha Mandela watumie kwa ajili ya elimu, je watatumia pesa hizo kujenga shule za sekondari kadhaa au kujenga chuo kikuu kimoja?
Ni pale ilipokuwa Arusha Tech? Maana hata mbeya tech kimekuwa chuo kikuu. Na nia ni kuendeleza pale walipokuwa.Kwangu mimini habari njema
Mkuu, Mji wa Darfur unayo University inayotoa madaktari na electronics engineers kibaoo! na wanakubalika kimataifa.Arusha inahali ya hewa nzuri ya kusomea.
Au wataalamu mwasemaje.
Kijengwe mbeya au arusha. usijenge pemba, watajilipua hao, watajitoa muhanga.Ndiyo mkuu,wangelifanya utaratibu kijengwe pengine-kila kitu Arusha?
Naomba utupe details za hicho chuo kinatoa kozi zipi?
Tumefanikiwa kupata nafasi ili chuo hiki kiwe Tanzania. Lakini for some unknown reasons WATAWALA na washauri wao wameamua kiwe ARUSHA!
Swali kwa nini kisijengwe Pemba hiki chuo ?..if not KIGOMA for that matter?
<br />Tumefanikiwa kupata nafasi ili chuo hiki kiwe Tanzania. Lakini for some unknown reasons WATAWALA na washauri wao wameamua kiwe ARUSHA!<br />
<br />
Swali kwa nini kisijengemba hiki chuo ?..if not KIGOMA for that matter?
HAPANA. kipo njia ya chini, kupitia usa river, ilikokuwa CARMATEC. KIZURI SANA HIKO CHUO.Ni pale ilipokuwa Arusha Tech? Maana hata mbeya tech kimekuwa chuo kikuu. Na nia ni kuendeleza pale walipokuwa.Kwangu mimini habari njema
Kwa taarifa za haraka chuo kimeshakamlika na wako mbioni kuanza kupokea wanafunzi
Ni pale ilipokuwa Arusha Tech? Maana hata mbeya tech kimekuwa chuo kikuu. Na nia ni kuendeleza pale walipokuwa.Kwangu mimini habari njema
Sio vitakavyojengwa,kimeshajengwa already,kwenye eneo lililokua carmatec zamani,kiko kwenye final finishing touches na walimu wameshaanza ajiriwa,kitasave south countries of Africa.ni moja kati ya vyo vya Engineering vi3 vitakavyojengwa Africa.
<br /><font size="4">Fait Accompli!</font>