Chuo kinachotoa masters ya oil and gas

johnn

Member
Jan 25, 2012
31
12
Msaada tafadhari kama unayejua chuo kinachotoa kozi ya oil and gas management kwa ngazi ya masters, (ndani na nje ya Tanzania).
 
Msaada tafadhari kama unayejua chuo kinachotoa kozi ya oil and gas management kwa ngazi ya masters, (ndani na nje ya Tanzania).

Siku nyingine inatakiwa uweke mada kama hii kwenye jukwaa la elimu.
Kwa Tanzania (UDSM) ndio kwanza wanaandaa mitaala ya gesi na mafuta (petroleum Engineering, sina uhakika kama kozi zimeanza kufundishwa), labda kwa sasa jaribu kuangalia nafasi vyuo kadhaa vya Norway ambavyo vinatoa shahada za taaluma hiyo. CHuo mojawapo kinaitwa NTNU. Link iko HAPA
 
Back
Top Bottom