Ni lini wamekippa hadhi ya university hiki chuo? Mbona nafasi za kazi tutorial sijazisikia?au washawekana ndugu kwenye vitengo?
Hongereni vijana na wanasayansi wetu.Acheni na kelele za siasa zinazo zungumzwa saidieni taifa lenu kwa hali na mali.Nyie ni wanasayansi na sio wanasiasa.Hakikisheni mnakipa jina kwa harufi zenu za mwaqnzo za majina yenu wotemlioshiriki kwa ugunduzi huo.
Wenu katika ujenzi wa taifa
LWLNLW
Unataka kila kitu utakisikia katika nchi hii?
Vitu vingine hata rais havisikii, wewe elewa tu kuwa kimepandishwa hadhi na kuwa chuo kikuu!
Safi sana kumbe na si tunaweza eee!
Chuo kikuu cha Mbeya University of Science And Technology (MUST) ambacho Zamani ilikuwa Mbeya technical college (MTC), badaye Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) na sasa kimepewa hadhi ya UNIVERSITY. Kimeunda kifaa maalum cha kukabiliana na ajali za majini. Kifaa hiki kinatoa taarifa za kiasi cha mzigo, hali ya mawimbi n.K kutoka ktk eneo la meli husika kwenda kwa manahodha na mamlaka za udhibiji (SUMATRA) N.K.
mmoja wa wagunduzi hao ameiomba serikali kukubali kifaa hicho ili kianze kazi mapema.
Source: STAR TV, habari ya saa 10.00 am.
Ni lini wamekippa hadhi ya university hiki chuo? Mbona nafasi za kazi tutorial sijazisikia?au washawekana ndugu kwenye vitengo?
Jiografia ya darasa la saba: Ziwa Nyasa (aka Malawi) linapakana na mikoa gani upande wa Tanzania? Au ndo mawazo ya kuwadis watanzania wenzetu yametujaa kichwani?mnhh maybe mimi sijui geography mbeya kuna eneo la maji mengi mpaka kudevelop kifaa hicho?Na unaposema hali ya mawimbi mfano natoka dar naenda zanzibar mawimbi yapo znz kifaa kinapimwa dar itasaidia?Mtoa mada hebu fafanua zaidi kama unajua
Hakuna kitu kipya hapo, sasa kinazuiaje ajali? kwa maana ajali ya meli haisababishwi na mawimbi wala kiasi cha mzigo pekee. Mi nadhani hayo ni mambo ya mamlaka ya hali ya hewa isitoshe vyombo kama hivi vipo melini tayari isipokuwa meli nyingi za kisasa