Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
Habari zenu ndugu? Natumai muwazima na salama. Kwa waokifahamu chuo hiki sitegemei mshituko wowote toka kwao bt kwa wale msiokijua chuo hiki maarufu kama Eckenford Tanga University habari ndio hiyo. Mpango wa chuo hiki ni hovyo na haupo sawa, kina jengo moja ambalo ukiliona hutasita kulifananisha na jengo mojawapo la shule fulani ya sekondari, eneo lake ni finyu sana kiasi chakutilia shaka long term plans za chuo hiki. Kwa kifupi mambo hayapo sawa na baado sana licha yakupewa kibali na TCU pia kuanza kudahili wanafunzi rasmi. Ni hayo tu!