UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
OK
Hongera,upo kozi gani paleMimi nipo MUM hapa mwaka wa tatu, ila wewe tuambie kwanza ni mambo gani huyaelewi ili nasi wengine tupate njia ya kueleza!
Inshaallah...
Mimi nipo MUM hapa mwaka wa tatu, ila wewe tuambie kwanza ni mambo gani huyaelewi ili nasi wengine tupate njia ya kueleza!
Inshaallah...
[emoji23]Hongera,upo kozi gani pale
[emoji23]Kumbe unakipiga pale MUM na uko mwaka wa tatu! Hongera sana.
Mie nilichopendea pale Mum ni kuhusu mtu kutaka mke wa kuoa unapata pale tena ni siku iyo iyo,unataja sifa zako baada ya masaa mawili unakuja fungishwa ndoa,kwahili nimelipenda kwa pale