Chuo Kikuu cha (MUM) Muslim University Of Morogoro

Chuo Kikuu cha (MUM) Muslim University Of Morogoro

Ww ulipoona neno 'Muslim' ulifikiri ni kwenye ugali wa udaga!

Nakutuma menda ukausome na kuelewa Motto, vision & mission of the university, kisha uje uniambie ulichokiona.

Halafu ulivyomjinga sasa umesoma sheria na kanuni za shule na ukazisaini kisha unakuja kushangaa hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nimeona na kuelewa rais Wa chuo kumbe naye alishindwa kukielewa sasa ametufumbua macho na nikajua hata wenyewe walikuwa hawaelewi eti SAA mbili mwisho usionekane mtaani kweli MTU mzima chuo kikuu anamwekea mda Wa kuonekana na kutoonekana
 
Mtoa mada funguka, pale usipopaelewa ueleweshwe kwanza.
Ila ukisema wengine waseme wasivyovielewa ni kama unatafuta chokochoko.

SUKAH...
Sheria zilizotolewa week ya pili ya mwezi Wa NNE zilikuwa zinaniogopesha ikabidi nijikague kwanza umri wangu,elimu,na mambo mengine mengi ndo nikagundua Nina miaka 39,nachukua bachelor NIKAJISHANGAA na na masharti yaliotolewa
 
Ikiwa chuo kinafuata utaratibu wa dini, basi huenda sheria hizo zimewekwa ili kulinda maadili ya wanachuo, kiroho na kimaumbile.

Kumbuka maadili hayana umri, wakubwa na wadogo wote wanapaswa kuwa waadilifu.

Usiwaze kijana mwenzangu, wewe nata na beat umalize zako kitabu, usepe.

SUKAH...
 
Mkuu wewe dini gani?

Unaweza kusema hayo masharti ili tuone yanakuumiza vipi?

Ya ngoswe mwachie ngoswee....
Sheria zilizotolewa week ya pili ya mwezi Wa NNE zilikuwa zinaniogopesha ikabidi nijikague kwanza umri wangu,elimu,na mambo mengine mengi ndo nikagundua Nina miaka 39,nachukua bachelor NIKAJISHANGAA na na masharti yaliotolewa
 
Mum ni chuo pekee ambacho mkeo anaweza kusoma bila kuchepuka
shekh wangu hata Mimi nilikuwa najua hivyo hivyo aiseee wee acha basi tu mambo mengine ni siri ila ningekuambia na pengine ungeshaa au ungejishangaa
 
Mie nilichopendea pale Mum ni kuhusu mtu kutaka mke wa kuoa unapata pale tena ni siku iyo iyo,unataja sifa zako baada ya masaa mawili unakuja fungishwa ndoa,kwahili nimelipenda kwa pale
Aisee sasa hapo ni chuo ama marriage centre a.k.a hook-up point.
 
Mie nilichopendea pale Mum ni kuhusu mtu kutaka mke wa kuoa unapata pale tena ni siku iyo iyo,unataja sifa zako baada ya masaa mawili unakuja fungishwa ndoa,kwahili nimelipenda kwa pale
Tumeshauri mara kadhaa uchunguzi ufanyike ikibainika chuo kifungwe mara moja. Nataarifiwa hapa jamaa walinufaika sana na uongozi uliopita pale UDDOM kwa mwamvuli wa dini pendwa.
**elimu kwanza, kobazi baadae
 
Hilo kweli kwani kuna shida chuoni wtu wakionana wakipendana na kuoana?

Vyuo kama UDSM na vinginevyo watu hawaoni wanachuo kwa wanachuo mkuu?

Tumeshauri mara kadhaa uchunguzi ufanyike ikibainika chuo kifungwe mara moja. Nataarifiwa hapa jamaa walinufaika sana na uongozi uliopita pale UDDOM kwa mwamvuli wa dini pendwa.
**elimu kwanza, kobazi baadae
 
Sawa ni jepesi tu....kama ulisign kufuata taratibu za chuo...basi usije kulalama hapa kutafta huruma ya jamiii.

Ni muhimu kutafta mahala unapoweza kusoma kwa starehe zako...wenzako wana mtizamo tofauti sana. Ni kama zilivo seminar za kikatoliki...huwez kifuata masharti off you go....ni rahisi tu.
 
Kwa kwel kile chuo kilinishida Kwanza mavazi,unyoaji,taratibu zooote ni za kidini kila kitu kilikua kikwazo kwangu sikuwah kuona sura ya mwanamke hata mmja wote wamejifunga ninja sasa inakua kama Advance Pale nadhani kuna Fimbo
 
Back
Top Bottom