Chuo kikuu cha manabii

Chuo kikuu cha manabii

MGANI PATRICK

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Posts
489
Reaction score
353
Wahi nafasi chache kuanzia ngazi cheti mpaka phd ya unabii. Ada ni nafuu. Chuo kipo mkolani mwanza.
IMG20180316105508.jpg
 
Kaona kuita kanisa imezoeleka. Kaamua kuita chuo kikuu cha manabii ili hata ambao hawajasoma chuo kikuu waende na idea ya kuwa wanakwenda chuo kikuu.
 
Hakuna chuo cha manabii, mitume hawa Mungu mwenyewe anawapa karama hizo baadae wanaziendeleza kwa kusoma neno vizuri, hao ni matapeli
 
Mungu angekuwa kaoiga hela sana
Swalehe
Nuhu
Ibrahim
Daud
Mussa
Suleyman
Yusufu
Issa
Muhammad n.k

Ya kaisari apewe kaisari, ya mungu apewe mungu.
 
Acheni watu wapige tu hela maana hamna namna tena
 
Manabii wa kusomea co wa maono ,hamna imani umo ni ushetani ,chuo cha manabii wa uwongo wa zama za mwisho ,aisee mtatupoteza wengi lkn watakatifu watakuwepo
 
Back
Top Bottom