Chuo Kikuu cha DSM Kinaendeshwa kisiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo Kikuu cha DSM Kinaendeshwa kisiasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 26, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kuna habari ambazo nilikuwa nazifuatilia kwa siku kadhaa sasa na zilitokana kwanza na suala la Prof. Baregu na sasa limewagusa baadhi ya watu pale Mlimani. Uchunguzi wangu umedokeza kuwa wale wasomi ambao wamekuwa vocal kwenye vyombo vya habari kama kina Kitila wanaanza kurukwa kupewa nafasi za juu za kuweza kuinfluence policies za chuo. Nimetaarifiwa kuwa kulikuwa na promotions ambazo zimefanyika pale mlimani ambazo huwa zinatokea kwa kupigiana kura -sijui kura zinapigwaje - baadhi ya watu ambao walishinda kura kwenye idara zao na wakawa lined up for promotion wamerukwa.

  Sasa, sijui kama UDSM inataka maprofesa wanaoimba sifa za serikali na CCM tu au kama chuo kikuu kinahitaji kupromote wide views za kisiasa, kijamii na kiuchumi bila kufanya maamuzi ya kisiasa. Sasa najiuliza kama ni kweli watu kama kina Kitila ambao ni wasomi na wamekubali kutumikia nchi katika academia wanaweza kurukwa kwa sababu tu ni "opposition figures" kuna tatizo gani kutangaza vyuo vikuu kama DSM kuwa ni vyuo vya CCM?

  Lakini ninachojiuliza sana ni kuwa ni lini UDSM kama chuo maarufu zaidi nchini kilianza kuogopa mawazo tofauti wakati kwa wanaokumbuka kiliwahi kupata sifa miaka ya sabini kuwa ni kitovu cha academic thinking katika africa? What happened? Je kukataza siasa kabisa kwenye vyuo vikuu tunasaidia wasomi wetu kukua na kuappreciate controversial ideas and alternative theoretical propositions?
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hata udom nayo iko kisiasa,tena kule hali ni mbaya zaidi kiasi cha kuwafukuza chuo hata wanafunzi wenye itikadi za siasa ya upinzani.Hakuna vyuo vikuu Tz kwa sasa
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ndugu, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firahuni, Siasa katika vyuo vyetu ni tatizo linalozidi kukuwa siku hadi siku, utakumbuka uwepo wa wimbi la wanasiasa wenye vyeti feki toka katika vyuo vyetu ni moja ya impact tunayoiona leo kutokana na mfumo siasa kujipenyeza katika mfumo taaluma wa elimu.
  Jiulize wale waliomtunuku JK Phd ya heshima walikuwa hawahawa wanazuoni wenye kufuata mrengo wa kitaaluma ama walikuwa wanazuoni-siasa, wenye kufanya lolote elimradi kuwaenzi na kuwafurahisha watawala?
  Baregu aliondoka hapo UDSM sababu ya kuwa ktk opposition,
  Dadi aliondolewa pale Arusha sababu ya kuwa Opposition,
  Leo wahadhiri wataalamu wananyimwa mikataba ya nyongeza pindi wanapogundulika ni wapinzani wa mabwanyeye
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kama ni kupewa administrative post (deans, directors, principals, etc.), you are right, lazima uimbe wimbo mmoja na CCM. Ila kwa academic promotions criteria ziko wazi, inategemea publications ulizo nazo, na hakuna cha UCCM wala nini.
   
 5. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu
  Weka kila kitu wazi, kwa uzoefu wako jf hatutegemei huleta habari iliyokaa namna hii, otherwise tutaita umbea.
  Isije kuwa waliokosa hizo nafasi wanakutumia ili kuleta majungu hapa, taja majina na uchaguzi ulivyokwenda.
   
 6. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  wewe unategemea nini wkt chuo kiko chini ya Prof. Mukandala? je hujui Mukandala na Kikwete wakoje? Je hujui kwamba Bana naye ni mtu wa karibu wa Mukandala? tena Muhaya mwenzie.

  Dr. kitila asingeweza kupewa, kwani pale school of Education aliyopo kuna fungu kubwa sana la Pesa kila mwaka kwa ajili ya Teaching Practice (TP), na ile pesa inaliwa na VC, 2 DVCs, Dean of School of Education na TP Coordinator. Hivyo, kumweka Dr. Kitila pale ni kujua ni kwa namna gani kuna pesa inapitia pale Education kwa ajili ya wakubwa wa chuo kama ilivyo REDET.

  Dr. Kitila alikuwa na sifa zote za kuwa Dean of School, kwani ni Senior Lecturer toka mwaka juzi na amewahi kuwa mkuu wa Idara, na zaidi yuko smart.

  Infact, msitegemee makubwa chini ya Prof. Mukandala, kwani hata yeye nafasi hhiyo alipewa kwa upendeleo wa kisiasa na JK.
   
 7. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kikwete hand-picks Mwanakijiji to be Mlimani vice chancellor,Mwanakijiji instead chooses to show appreciation by encouraging and rewarding everyone who stands up against,plays critic to Kikwete who appointed him...I don't think so..a fruit falleth not further from the tree which bears it.
   
 8. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  MM atakuwa anamaanisha hapo pekundu na si academic promotions, kwani Dr. Kitila amekuwa Senior Lecturer toka mwaka juzi au mwaka jana. Na huu muda haujatimia yeye kuwa promoted kuwa Associate Professor. Hivyo, MM atakuwa anamaanisha hizo admnistrative posts, kwani ndiiyo zimefanyika just last week.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe nawe usiwe punguani hakuna kitu cha Serikali kisichoendeshwa kisiasa, ndio maana watu wanataka uongozi.

  Ingekuwa Serikali na taasisi zake haziendeshwi kisiasa ni nani angegombea uongozi wa siasa?
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hilo ni sahihi kuwa watu wanapeana nyadhifa kichama lakini wanaaminiwawanaweza kutoa nyadhifa kiacademia?
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Umeona swali?
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280

  Asante, sasa nadhani tunaweza kuanza kuangalia kwa darubini - maana watu wanashangaa yanaytookea UDSM lakini sidhani kama wamewahi kuangalia matumizi ya pesa yanakwenda pale chuoni. As a matter of fact ningependa CAG akague hicho chuo kama watu hawatakimbizana mkuku mkuku..
   
 13. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Uamaanisha leo ndiyo umeijua UDCCM?
   
 14. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Halafu mbona tunasahau serikali ni ya chama (ta) wala nchi
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Matumizi ya pesa hata ya ofisi za chadema yana walakin. Ndio maana Kikwete kaliona mapema akaanzisha CAG.
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hapana .. huu uozo wa kupeana nyadhifa kichama unatakiwa ukemewe kwa nguvu zote & ukomeshwe. Tatizo obviously ni ukondoo & uoga wa hao wanaoongozwa (yaani hao wasomi uchwara wanaendelea kubali kuongozwa kichama)
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani wote waliopo mawizarani na vyuoni ni CCM?

  Lakini ukiwa pale uwe wa chama chochote kile lazima ufate sera za chama tawala.

  Na huo ndio mfumo mbovu aliotuachia Nyerere, kwa sasa Kikwete yupo mbioni kuubadili. Kaanza na Serikali ya mseto Zanzibar, anabadili katiba na vizazi vijavyo vitayaona matunda yake.
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sidhani....kuna viongozi wengi tu wa chuo ambao wako very critical of this government and its policies so maybe majority wanapendelea ccm but ukisema chuo kizima ni cha chama tawala...i would disagree with that...
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika sana kama hela ya teaching practice dean anafaidikaje! Maana ile hela yote inakuwa processed centrally. Mambo yote yanakamilishwa na akina mgaya na mhasibu wa chuo ambaye ndiyo ataprocess check na kuwaingizia walimu hiyo hela moja kwa moja kwenye akaunti zao. Dean ataipata wapi? Sema dean anafaidi zile allowance za vikao, responsibility allowance etc.
  Lakini pia dean ni member wa management board ya chuo. Kwa hiyo anashiriki kwenye vikao vya maamuzi makubwamakubwa ya chuo. Kwa mtu kama Kitila, na uwezo wake isingekuwa rahisi kwa vilaza kama akina Mkandala kumpa nafasi ilihali wakijua kwamba atawasumbua kwenye kupitisha maamuzi yao ya kifisadi. Ninafikiri wamemnyima kutokana na kumhofia, plus itikadi zake za kisiasa lakini sidhani kama ni kutokana na hizo pesa za TP. Maana hizo inawezeakana kabisa dean asipate hata senti tano.
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kagi aliikagua UDSM na matokeo yake yaliandikwa hata magazetini. Kwa kumbukumbu zangu kulikuwa na ufujaji wa zaidi ya milioni mia saba pale DUCE, na kiasi cha milioni mia sita MUCE. hakukuwa na ufujaji kutoka UDSM main campus. Labda tuexpand dabate sasa kutoka hapo.
   
Loading...