Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)- special thread

mike82

New Member
Jul 8, 2015
1
0
Habari za jioni,

Naomba kufahamishwa endapo inawezekana kusainishwa mkopo kabla ya kukamilisha usajili ili niweze kutumia fedha hizo kukakamilisha kiasi cha ada niweze kukamilisha usajili maana nimeambiwa na waliofika chuoni (UDOM) kuwa inatakiwa ilipwe kwanza nusu ya ada ndipo usaini mkopo.
 
Haiwezekani

Hadi ukamilishe usajili ndipo utasaini.
 
Back
Top Bottom