caiden mills
Member
- Jul 13, 2019
- 49
- 19
Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.
Kunguni washafika wapiga dawa toka majuzi huko....Swala la kunguni mmeshalimaliza au bado
Dodoma Jua Kali Ndiyo Muda Wa Kutoa Magodoro Juani Mwezi MzimaSwala la kunguni mmeshalimaliza au bado
Sio activeSpecial Thread Ya UDOM Ipo JF Siku Nyingi
Uongozi Unganisheni Hii Kwenye Ile Kubwa
Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.View attachment 2695960View attachment 2695968