Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chalipuliwa Bungeni

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chalipuliwa Bungeni

Hivi Udom si ndo kile chuo magazeji yakitangaza kazi yanasema wahitimu wa udom should not apply
 
Ha ha haa, hii nchi bana, kila kona ulaji tu!
Hizi Pesa zinatoka wapimaana kila siku tunaambiwa Serikali haina pesa lakini kuna sehemu zinaliwa tuu, nadhani kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu hii
 
Kwani mshahara yote inakuja kama fungu moja chuoni halafu ndio inakuwa distributed kwenye akaunti zao au inalipwa vipi? maana kama inaingizwa kwenye akaunti za marehemu hamna atakayeweza kuzigusa.

Payroll ikitengenezwa ndipo mishahara inaingizwa kwenye akaunti binafsi ya mfanyakazi husika. Kwa taasisi zinazopokea fedha za mishahara toka Hazina hupewa mafungu ya mishahara ya wafanyakazi wake wote kwa hundi moja quarterly, semi annually au annually.
 
Wa Tanganyika bwana.

Ukisikia udini pasi na shaka yoyote anakusudia Uislam.

Poleni sana , hili kovu mliloachiwa na ukoloni wa waingereza sasa ndio linakaribia kuwamaliza.

Sijakuelewa unasema watanganyika wapi, kama ni hawa wa bara mbona ni mchanganyiko wa madhebu mbalimbali na waislamu pia wamo?
 
Wengine wanachota michango ya M4Chenji eti wanakopa. Khaa! kwani saccos hiyo.
 
ili wizi utulie ni hadi huyu anayewakingia kifua (dhaifu) aondoke madarakani, yaani ufisadi ni kila taasisi ambayo ameweka ndugu zake kama mlacha. Namwombea lowasa apite awanyoshe
 
ahhh, mlachaaaa!huyu bwana anadharau sana aliwahi kusema kuwa yeye hakuandika barua ya maombi kuomba kazi udom bali kikwete alimpigia simu usiku wa manane kumuomba akaongoze chuo,so no one threatens him. serikali inajua uozo wote udom sema wanalindana2
 
Back
Top Bottom