Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chalipuliwa Bungeni

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chalipuliwa Bungeni

ahhh, mlachaaaa!huyu bwana anadharau sana aliwahi kusema kuwa yeye hakuandika barua ya maombi kuomba kazi udom bali kikwete alimpigia simu usiku wa manane kumuomba akaongoze chuo,so no one threatens him. serikali inajua uozo wote udom sema wanalindana2
aseme kama wakat anamwambia,alimwambia awe mbadhilifu pia,KUPIGIWA SIM KUFANYA KAZI FULAN HASA KUONGOZA CHUO KAMA UDOM NI KUHESHIMIWA NA ALIYEKUPA,UNLESS HIZI TUHUMA ZIWE ZA UWONGO,,,,,,
 
Wa Tanganyika bwana.

Ukisikia udini pasi na shaka yoyote anakusudia Uislam.

Poleni sana , hili kovu mliloachiwa na ukoloni wa waingereza sasa ndio linakaribia kuwamaliza.

Kwa hiyo wewe baru umeshaanza kuvunja muungano hata kabla ya katiba mpya ili hali ni kada mwaminifu wa kijani?
 
Mlacha huyu huyu Alhaji?? Huyu Bwana ni Mcha-Allah hawezi kuiba kabisa.

Hahahahaaa....jamaa ni kiburi, jeuri na kwa vile kawekwa hapo kiushkaji maana ni mume mwenzie na baba Mwanaasha wameoa nyumba moja. Mlacha anafanya anavyotaka UDOM ni untouchable!
 
Yote yanasababishwa hasa na DVC PFA(Planning, Finance and administration) Prof. wa Kiswahili "Mlacha". hili suala limeshazungumziwa sana but halijapata ufumbuzi mainly due to the close tie he has with mkuu wa nchi. matatizo yataendelea kuwepo kila kukicha na yataendelea kuzimwa. hiyo turnover ya wafanyakazi yenyewe inasababishwa na huyohuyo mjamaa
 
kuna udini balaa hapo,..waislamu wanataka kukifanya chuo cha dini..hii ni kwa mujibu wa wanafunzi wanaosoma hapo
 
Back
Top Bottom