Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,773
Wadau habari. Naomba kufahamishwa juu ya mazingira ya kusomea ya chuo kikuu cha arusha (arusha univasiti) kimiundo mbinu ,ubora na capasity ya wanafunzi pamoja na location yake. nimeomba 1st choice hiki chuo bila kupenda kwani nilijikuta nimebadilisha kila nilipowekewa No kwa kozi nilizoomba hivyo nilipoweka hiki chuo ikawa ndo basi siwezi kubadili tena pia sikifahamu kabisa chu hiki. Nimeomba makumila chaguo la tatu nacho sikifihamu vizuri. Msaada please!