Chuo kikuu Arusha na Tumaini Makumila

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,430
1,773
Wadau habari. Naomba kufahamishwa juu ya mazingira ya kusomea ya chuo kikuu cha arusha (arusha univasiti) kimiundo mbinu ,ubora na capasity ya wanafunzi pamoja na location yake. nimeomba 1st choice hiki chuo bila kupenda kwani nilijikuta nimebadilisha kila nilipowekewa No kwa kozi nilizoomba hivyo nilipoweka hiki chuo ikawa ndo basi siwezi kubadili tena pia sikifahamu kabisa chu hiki. Nimeomba makumila chaguo la tatu nacho sikifihamu vizuri. Msaada please!
 
Makumira ki mazingira ni pazuri,ila sijui kuhusu content ya material wanayo deliver
 
chuo kikuu arusha nimeomba bussines adamin with acounts and education . makumila nimeomba computer science with information tech.
 
hivi choice yako ya kwanza unaweza usipangiwe ukapangiwa ya pili au ya tatu?mi nilidhani wanaconsider choice one tu
 
ukiambiwa utafanya nini baadae? nyio ndo wa kurudisha maendeleo nyuma,kwani wale wanaosoma wamekuaje?
 
hivi choice yako ya kwanza unaweza usipangiwe ukapangiwa ya pili au ya tatu?mi nilidhani wanaconsider choice one tu

mimi last yr nilikuwa na mawazo kama yako bt nilijikuta napangiwa choice ya 5 so ht last choice waweza pangiwa
 
Makumila ndio wapi?? Ni Makumira. Wako vizuri kwenye Sheria na Ualimu.

Arusha University iko karibu na gate la Momela Arusha National Park. Mbali kidogo na mji na huduma nyingi za kijamii.
 
Makumira iko poa sana nakukaribisha ukifika tu nitafute nitakuwa mwenyeji wako nenda fb by Razak Masoud
 
wa2 hawapati kazi au kufanikiwa ktk maisha kwa sababu ya kusoma chuo Fulani,wapo waliosoma vyuo maarufu na bado wapo mtaani wanaburuzwa na hao waliosoma vyuo ambavyo.......malizia hpo!

kila la kheri!
 
Back
Top Bottom