Chuo gani Tanzania kipo vyema kwenye kozi ya Computer Science?

Hamna chuo duniani kinamfanya mtu awe competent, ni juhudi zako binafsi.

Naona umeanza kufikiria ajira, NAKUSHAURI ACHANA NA COMPUTER SCIENCE maana badae utakuja kulia kama mtoto.
Engineering ipi ni the best mkuu kwa tz kuna dgo ananiuliza sina cha kumjibu
 
Civil Engineering (Kuajiriwa/Kujiajiri)

Electrical Engineering (Kuajiriwa mostly japo unaweza Kujiajiri)

Irrigation/Water Engineering (Kuajiriwa/Kujiajiri)

Software Engineering (Kuajiriwa/Kujiajiri)

Soma zaidi...

Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

Kozi za engineering/Science ambazo ni rahisi kujiajiri
 
Habari zenu wandugu,

Eti ni chuo gani hapa Tanzania waweza soma Computer Science na kuwa competent?

Na je mchomoko wake wa ajira hapa bongo upoje?

Kuna dogo namhaingikia
Regards.
KATIKA KOZI NGUMU KUPATA AJIRA HAPA NCHINI NI COMPUTER SCIENCE UNAPOSOMA HII KOZI UJIANDAE KUJIAJIRI SIO KUAJIRI .....

TUKIENDA KATIKA VYUO KWA UZOEFU WANGU BONGO VYUO VYOTE CHENGA CHUO ANGALAU ANGALAU KASOME UNIQUE ACADEMY CHUO FLANI CHA WAHINDI KIPO POSTA WANA FACILITIES ZOTE MUHIMU PAMOJA NA LAB ZA KISASA NA WALIMU BORA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna, Nenda Nigeria Ndiyo Kuna ma kompyuta sayantisti wa ukweli
 
KATIKA KOZI NGUMU KUPATA AJIRA HAPA NCHINI NI COMPUTER SCIENCE UNAPOSOMA HII KOZI UJIANDAE KUJIAJIRI SIO KUAJIRI .....

TUKIENDA KATIKA VYUO KWA UZOEFU WANGU BONGO VYUO VYOTE CHENGA CHUO ANGALAU ANGALAU KASOME UNIQUE ACADEMY CHUO FLANI CHA WAHINDI KIPO POSTA WANA FACILITIES ZOTE MUHIMU PAMOJA NA LAB ZA KISASA NA WALIMU BORA

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii unique is the best kwangu..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndani ya computer science kuna
Computer Network & Security
Computer Programming
Artificial Intelligent(AI)
Data Science n.k

Inabidi uspecialize kwenye field moja wapo.

Na kuspecialize kwenye field moja wapo inabidi usome hizo kozi nje ya mtaala wa chuo (kama ni programmer utaingia youtube, vitabu, codeacademy, codingforenterprenure, treehouse, udemy, Coursera, W3Schools nk)

Uzuri wa programming unatatua matatizo ya kwenye jamii inayokuzunguka kwa kutumia technology, achana na mindset ya kuajiliwa. Nenda chuo kasome upate knowledge uje kuitumia kwenye real world.
 
Civil Engineering (Kuajiriwa/Kujiajiri)

Electrical Engineering (Kuajiriwa mostly japo unaweza Kujiajiri)

Irrigation/Water Engineering (Kuajiriwa/Kujiajiri)

Software Engineering (Kuajiriwa/Kujiajiri)

Soma zaidi...

Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

Kozi za engineering/Science ambazo ni rahisi kujiajiri

Nime appreciate comment yako, japo huwa nakudharau sana. Nakuonaga kama una majigambo, ulimbukeni hivi hasa kama kitu unakijua.
 
Sifa za kujiunga na hicho Chuo zipo VIP na ikiwezekana na ada zao zipo vip mwaka huu niombe

Back
Top Bottom