Chuo gani Tanzania kipo vyema kwenye kozi ya Computer Science?

Chuo gani Tanzania kipo vyema kwenye kozi ya Computer Science?

Huwezi chomoka. Maana hauko interested nayo ila kama uko interested nayo 1st semister ushaanza kuona pa kuchomokea.
 
Habari zenu wandugu,

Eti ni chuo gani hapa Tanzania waweza soma Computer Science na kuwa competent?

Na je mchomoko wake wa ajira hapa bongo upoje?

Kuna dogo namhaingikia
Regards.
Hamna chuo duniani kinamfanya mtu awe competent, ni juhudi zako binafsi.

Naona umeanza kufikiria ajira, NAKUSHAURI ACHANA NA COMPUTER SCIENCE maana badae utakuja kulia kama mtoto.
 
Hamna chuo duniani kinamfanya mtu awe competent, ni juhudi zako binafsi.

Naona umeanza kufikiria ajira, NAKUSHAURI ACHANA NA COMPUTER SCIENCE maana badae utakuja kulia kama mtoto.
Mlengwa sio mimi... Halafu ni vizuri ungetoa sababu katika aya yako ya mwisho
 
Back
Top Bottom