Chuo Gani kinatoa mafunzo ya sanaa ya filamu?

kapuku94

Member
Nov 7, 2018
66
125
Napenda kuwa muandaaji wa sinema . naitaji kujua ni chuo Gani kinatoa mafunzo Na jinsi ya kuandaaa sinema .

Pia nisome nini ? naitaji kujua chuo pia Na gharama zake

Asanteni
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
5,808
2,000
Napenda kuwa muandaaji wa sinema . naitaji kujua ni chuo Gani kinatoa mafunzo Na jinsi ya kuandaaa sinema .

Pia nisome nini ? naitaji kujua chuo pia Na gharama zake

Asanteni
Tafuta shule kwanza ikufundishe jinsi ya kuandika kiswahili kwa ufasaha,mod's badilisheni hapo kwenye heading pasomeke Hapa badala ya Apa.
 
Aug 15, 2018
42
95
Udsm hapo kuna kozi inaitwa BAFT(bachelor of arts in film and television) ipo college ya COHU department ya CREATIVE ARTS inakava vitu vyote vinavyohusiana na film production...
 

kapuku94

Member
Nov 7, 2018
66
125
Hauna sifa ata ya kupita karibu na UDSM cha kufanya tafuta uliomaliza nao 2013 ambao mlikuwa mnacheza wakati walimu wakifundisha muanze kufundishana iyo sanaa yenu
Kwa Chet tajwa apo juu ..chuo college Gani itanifaa apa dar es salaam ...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom