Hapana hawatoi mzee.shukurani mkuu
Nenda OUT Mkuu kachukue ICTNaomba kujua chuo kinachotoa degree katika fani za IT chenye masomo ya jioni kwa hapa Dar es Salaaam?
ahsante mkuu ila OUT kidogo hakilipiNenda OUT Mkuu kachukue ICT
www.out.ac.tz
Usijidanganye kuwa hakilipi, sema hiyo program inatolewa full timeahsante mkuu ila OUT kidogo hakilipi
Hivi vyuo viwili ... so far ndio the best when it comes to IT.naombeni majibu
Umemwelewa mtoa mada?Hivi vyuo viwili ... so far ndio the best when it comes to IT.
1. Youtube (free of price).
2. Udemy (12 USD per course).
Mkuu Full time kama vyuo vingine?? Maana nataka kuchukua ICT mwaka huu but iwe kwa masafaUsijidanganye kuwa hakilipi, sema hiyo program inatolewa full time
Yes ni full time kama vyuo vingineMkuu Full time kama vyuo vingine?? Maana nataka kuchukua ICT mwaka huu but iwe kwa masafa
Mkuu Tayar niko kazini. Ni issue tu za kujiendelezaTafuta chuo kinachotoa mafunzo ya kuwa fundi wa Bodaboda na Bajaj utakuja kunikumbuka. Achana na IT