Chuo Forum

Chuo Forum

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,044
Habarini wakuu,
Kutokana na kukosekana na forum ya wanachuo pekee. Nmefungua thread hii ili kushare na kushirikiana kwenye mambo tofauti.

Thread hii utakuwa sehemu ya kushare college books, lecture notes, Publications and research articles, college announcements, tutorials and past papers etc.

Wanachuo wote tushiriki kwenye hili, usiogope kutoa maoni yako.
 
Mtwivila University College tupo mkabala na njia ya kwenda dom kutoka iringa
 
Habarini wakuu,
Kutokana na kukosekana na forum ya wanachuo pekee. Nmefungua thread hii ili kushare na kushirikiana kwenye mambo tofauti.

Thread hii utakuwa sehemu ya kushare college books, lecture notes, Publications and research articles, college announcements, tutorials and past papers etc.

Wanachuo wote tushiriki kwenye hili, usiogope kutoa maoni yako.

Hivi kumbe Chuoni huwa tuna tabia ya kupitia Past Papers kama darasa la Saba, Kidato cha Nne na cha Sita?
 
Tena chuoni imezidi kwa kuwa maswali mengi huwa yanatoka kama yalivyo kwenye past papers..... Wanachuo wengi kufaulu hutokana na ku-discuss past papers.
 
Basi kama kweli Wanachuo wa Chuo chako hupenda ' Kudiskasi ' Past Papers ili wafaulu tu Mitihani yao acheni tu Elimu ya Tanzania iwe ni mbovu na kituko inayotupelekea ' Kuchekwa ' kila siku na Wakenya, Waganda na Wanyarwanda.
 
mfumo ndo unatupeleka..... ukijikuta mjuaji sana...... yanakutokea puani uku chuo....
 
Tena chuoni imezidi kwa kuwa maswali mengi huwa yanatoka kama yalivyo kwenye past papers..... Wanachuo wengi kufaulu hutokana na ku-discuss past papers.
Hakuna aisee sio kila mda wanatoa past paper....
 
Back
Top Bottom