Chuo : Code+HTML

Chuo : Code+HTML

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
634
Reaction score
442
Nimeanzisha CHUO cha kukamilisha mipango ya mwaka huu,
Kwa wale waliosoma lakini hawakuielewa ama unahitaji kusoma basi mwalimu nipo hapa
Masomo hya yatakuwa ni online na ndiyo tutakayosoma pekee kwa mwaka huu,
Na pia kam ungehitaji kujifunza masomo hayo kumbuka nitafundisha BUREE.
Yatasaidiwa na kiswahili ili kwa kichwa NGUMU cha lugha ku mast mapemaaa.
DARASA NI BUREE.
Pia kam ni mwalimu ama unaijua CODE tutahitaji ushiriano wako zaidi...
Kabla ya kuendelea unazani ni njia ipi zaidi ya ONLINE itakayofaa kwa kipindi?
Screenshot_20180109-184923.png
 
Back
Top Bottom