Wanajf naomba mwenye ufahamu juu ya hili anifahamishe. Nimeambiwa kwamba pale lugalo jwtz camp dsm kuna chuo cha uuguzi, swali langu ni kweli hicho kipo? Pia je hicho chuo kina-train clinical officers na utaratibu wa kujiunga na chuo uko vp?
Chuo kipo kinaendesha kozi tatu za afya ngazi ya diploma ambazo ni CLINICAL OFFICER, DIPLOMA IN NURSING NA ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO)vigezo na maxharti ni yapi
Nitajia website yao nidownload form mkuuChuo kipo kinaendesha kozi tatu za afya ngazi ya diploma ambazo ni CLINICAL OFFICER, DIPLOMA IN NURSING NA ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO)
Chuo kina mandhari nzuri na bei yake ni nafuu kwa wanaotaka kujiunga fomu zinapatikana chuoni LUGALO SCHOOL OF MEDICAL SCIENSE kilichopo maeneo ya Mwenge kama unaelekea Tegeta upande wa kulia baada ya kuvuka makongo kituo kinachofuata kinaitawa super shuka then vuka barabara upande wa pili utaona kibao kinachoelekeza chuo kilipo
1130400Je ada in shilling ngap kwa mwaka hapo ligalo
Ni cha serikaliYap kipo kinaitwa Lugalo military medical school. kinatoa kozi tatu kuu Clinical Medicine (clinical officer), Nursing (Diploma) na Assistance Medical Officer (AMO). Kozi hizi huchanganya raia na askari kuwa darasa moja na hospital ya mazoezi ni hapo hapo lugalo general military hospital. ni chuo kikongwe sana toka 1980's. kupata form nenda chuoni ofisini kwao. Njia nzuri ya kufika nenda kama waenda lugalo hospital ukifika getini ulizia chuo utaelekezwa usisahau kubeba kitambulisho chako chochote ili utambulike getini. kwa kawaida form hutolewa kuanzia march hadi juni kama sijakosea bei ya kawaida na masomo huanza september kila mwaka. Specifications ni kama za wizara ya afya. kumbuka hiki ni chuo private si cha serikali.