Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

Lema anafahamu kosa lake ninini. Huwezi kukimbia bila kosa. Kweli makinda alikuwa sahihi kubariki kutimuliwa ili genge la wabunge
 
Lema hana kosa lolote wakuu.Ila mkuu wa mkoa amesema kwamba Lema ndie aliyewaamasisha wanafunzi wamzomee.Pia uongozi wa chuo wamesema kwamba hapo awali Lema aliwasaidia sana ila baada akaanza kutoa manene ya uchochezi,hii ni kwa mujibu wa uongozi wa chuoa.
 
Lema anatakiwa polisi kwa kosa lipi? Mnaogopa aiende mjengoni? Hebu mkuu wa kitio aeleze umma kosa analomkamatia mh. Lema!! kweli sinena za kinda!!
 
Lema hana kosa lolote wakuu.Ila mkuu wa mkoa amesema kwamba Lema ndie aliyewaamasisha wanafunzi wamzomee.Pia uongozi wa chuo wamesema kwamba hapo awali Lema aliwasaidia sana ila baada akaanza kutoa manene ya uchochezi,hii ni kwa mujibu wa uongozi wa chuoa.

Wayataje hayo maneno ya uchochezi!!! Alitamka wanafunzi wamzomee mkuu wa mkoa? Kwa kifupi wananchi wengi si wanafunzi tu wamechoka!!
 
Its just a amatter of Time wananchi watajua kuwa wanayemshabikia ni mtu hatari sana

Hatari kuliko wang'oa kucha, meno, na macho bila ngazi? Lema ni mbunge wa Arusha hata 2015 hakuna bao pale!! Mmeteleza!! Get well soon, mkuu.
 
Lema yupo salama kabisa nilimuona akitoroka kwa njia ya panya kwenye uzio wa chuo.

Baadhi ya polisi wenyewe waliwaambia wanafunzi wamfiche Mh. Lema!!!! Hata hapa hawajifunzi tu!!!? Kila mtu wa maisha ya chini ambayo hayana matumaini amechoka!!!
 
Busara zitumike la sivyo arusha tunarudi tulikotoka. By the way viongozi wetu wa sasa wanaomba mungu awajalie Mali bila kuomba mungu awajalie hekima na busara
 
Wewe kwetu ni madako tu. Huwa tunasema hatuongei na madako sisi. Sijawahi ona hata siku moja ukiongea jambo la maan zaidi ya kuongea madako tu.
Its just a amatter of Time wananchi watajua kuwa wanayemshabikia ni mtu hatari sana
 
Huyo kikogogo wa ccm kazomewa kwa madudu wanaoyafanya na kudhuru na kuumiza watu.
Achen kukalil, KIKWETE alipo zomewa UDSM alikuwepo Lema?
Alizomewa kwa udhaifu wake.
 
Kama Lema Ana mvuto kisiasa hiyo ni neema aliyopewa na Mungu huyo mkuu aw mkoa Kama Hana uwezo wa kuwaunganisha watu wake huo udhaifu na mapungufu yake we are tired na uonevu y polisi polisi polisi ye ndo anajua sheria aseme kosa la Lema ye si Alitaka Lema Aondoke ili azungumze na wanafunzi sasa ya nini kumsakama Lema!
 
Huyu mkuu wa mkoa nimemserukamba anataka ambambikizie kesi Lema
 
Yale yale akili ndogo kutawala kubwa! kumuweka Lema ndani co ushu bwana Magesa nikumuongezea lema umaarufu ambao hawtaji alishaenda maabusu siku 14 tena kwa hiari yake.so punguza mkwara mbuzi kosa lako sheria huzijui
 
Back
Top Bottom