NecZec
Member
- Jan 23, 2019
- 68
- 118
Salamu!
Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo 100% au niaje wakuu.
Naomba majibu kabla sija confirm kujiunga na chuo hiki kwani nimechaguuliwa chuo kingine cha serikali Ila kozi tofauti na hajanivutia.