Chuo cha Tosamaganga

Chuo cha Tosamaganga

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
1,012
Reaction score
812
Habar wakuu,samahani naomba mwenye maelezo ya kujua chuo cha Tosamaganga ni chuo cha namna gani,mtoto akisoma hapo mazingira yake yako vizur?maarifa wanatoa vizur?hakuna ubabaishaji? Upande wa masomo kwa vitendo vp?fatadhali naomba kupata mbili tatu,nomeona website yao haina details nyingi na wakati kwa sasa mambo yote ni mtandao wao naona wapo nyuma kidogo hapo!
 
Kuwa makini watachoma hostel achapwe viboko Halafu arudi nyumban akae wiki mbili umrudishe shule na laki tano juu ukifika na ww uchapwe viboko kwa kushindwa kumfundisha Mwanao tabia njema
 
habar wakuu,samahani naomba mwenye maelezo ya kujua chuo cha tosamaganga ni chuo cha namna gani,mtoto akisoma hapo mazingira yake yako vizur?maarifa wanatoa vizur?hakuna ubabaishaji? upande wa masomo kwa vitendo vp?fatadhali naomba kupata mbili tatu,nomeona website yao haina details nyingi na wakati kwa sasa mambo yote ni mtandao wao naona wapo nyuma kidogo hapo!
Ni chuo cha kada gani?,afya au ufundi wa veta?
 
Binafsi nmesoma shule ya sec tosamaganga IPO juu kiliman ukismama pale , kwa chini utaona sehem inaitwa IPAMBA utaona hospital kubwa saana inatwa TOSAMAGANGA DDH HOSPITAL pembezoni ndipo kilipo chuo cha afya tosamaganga,, chuo pamoja na hospital vinamilikwa na kanisa katoliki mazingira Ni supportive mwanafunzi kujifunza kwa vitendo, sijui by now ila had natoka tosamaganga 2015 chuo kilikuwa kinachukua wanafunzi Wa kike tu!! So far ni chuo kizuri ila ukienda kule usisahau UKIMWI upo, na ulanzi upo kwa wingi
 
Chuo kipo Poa kwa kukiangalia na ni kikongwe kwani hospitali ipo hapohapo. Ila ni girls tuu wanaosoma hapo ,japo sijajua kwa sasa ikoje
 
Chuo kipo Poa kwa kukiangalia na ni kikongwe kwani hospitali ipo hapohapo. Ila ni girls tuu wanaosoma hapo ,japo sijajua kwa sasa ikoje
nimeambiwa now ni clinical ,nursing imefutwa pale.
 
Binafsi nmesoma shule ya sec tosamaganga IPO juu kiliman ukismama pale , kwa chini utaona sehem inaitwa IPAMBA utaona hospital kubwa saana inatwa TOSAMAGANGA DDH HOSPITAL pembezoni ndipo kilipo chuo cha afya tosamaganga,, chuo pamoja na hospital vinamilikwa na kanisa katoliki mazingira Ni supportive mwanafunzi kujifunza kwa vitendo, sijui by now ila had natoka tosamaganga 2015 chuo kilikuwa kinachukua wanafunzi Wa kike tu!! So far ni chuo kizuri ila ukienda kule usisahau UKIMWI upo, na ulanzi upo kwa wingi
mkuu Luis mfipa why umesisitiza UKIMWI upo??hal ya hewa vp mkuu wangu kuna baridi sanaa zaidi ya sanaa,kwa anaye toka mikoa ya kanda ya ziwa anawexa kuwa fresh tu??
 
Baridi ipo ila kuanzia mwez wa 5-7 ndo inakuwepo,, miezi mingine ni hali ya kawaida tu!! Pale hata kama unatokea mikoa ya joto unaweza kuishi vizur kabisa!
 
Back
Top Bottom