Chuo cha Police Academy Medical Lab kipo wapi?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
326
Reaction score
627
Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar?

Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
 
Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
Hiko chuo kipo katika chuo cha Maofisa wa Polisi maarufu Police collage kule kilwa road .hiko chuo kinacho hospital kubwa inayoitwa Kilwa Road ni hospital ya rufaa kwa ufupi mpe hongera .maana huyo uhakika wa ajira huko maana Hicho chuo wataalamu iliyowazalisha Wengi wanaajiriwa na Wizara hiyohiyo labda akatae mwenyewe.
 
Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar?

Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
Hongera Sana Mkuu wewe na mdogo wako. Maelezo ya wadau yamenikosha.
 
Hiko chuo kipo katika chuo cha Maofisa wa Polisi maarufu Police collage kule kilwa road .hiko chuo kinacho hospital kubwa inayoitwa Kilwa Road ni hospital ya rufaa kwa ufupi mpe hongera .maana huyo uhakika wa ajira huko maana Hicho chuo wataalamu iliyowazalisha Wengi wanaajiriwa na Wizara hiyohiyo labda akatae mwenyewe.
Nakutafta sana mwanangu pm
 
Back
Top Bottom