Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 664
- 334
khee! Chuo cha mipango ni chuo cha kata???Duh ni kweli hata mimi nimepita hapo nimeona,ila hawa wasomi wa cku hz buree kabisa,yaan unataka kumaliza chuo bila kudefend research yako,kuna haja ya tcu kuangalia upya udahl wa hv vyuo vya kata!period
hapo kwenye red.Ndo matatizo ya kutumia madesa .Sasa wanachoogopa ni nini?Si wameziandaa wenyewe?Kwanza ni wazo zuri la kukujengea confidence mbele za watu na pia kujua kweli uliandaa mwenyewe au ni copy and paste ..Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomslizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanatakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa
khee! Chuo cha mipango ni chuo cha kata???
kwa hyo kutokukijua wewe ndo kielelezo cha chuo cha kata, haya hongera kwa fikra zako zilizopevu.Sasa unashangaa nn,mi nimekijua baada ya kufka Dodoma,
Duh!cpati picha hayo mambo yangeku udsm ingekuaje,maana pale cku ya presentation 2 wa2 wanajificha.
kwa hyo kutokukijua wewe ndo kielelezo cha chuo cha kata, haya hongera kwa fikra zako zilizopevu.
wala hata cjawah fika dodoma mkuu.Senetor we utakuwa umesoma Udom tu.
toa vigezo vya kutuaminisha kwamba hicho ni chuo cha kata? Ili niache ubishi..Kipo kata ya Miyuji,chuo cha mipango ya maendeleo vijijini,usiwe mbishi,
waache woga mbona sisi huju Asia ndio kawaida degree ni lazima udefend kwenye pannel,sasa hiyo wameintroduce Tz wanafunzi wanaigomea,hawana sababu za msingi za kugoma hapo mkuu.lazima wajifunze cofidence mbele ya watu.Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomslizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanafakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa