Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 664
- 334
Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomalizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanafakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa