Chuo cha MIPANGO kwachafuka Ffu wanarandaranda

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomalizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanafakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa
 
Sis wa mwaka wa kwanza,watusubirie kugomea bod ya mikopo, mwaka huu kitaeleweka!
 
kama umechimba vizuri msiogope. Duniani ni zaidi ya panel na binafsi siwezi kumpa ajira mtu aliyekimbia kumwaga nondo mbele ya panel
 
Duh ni kweli hata mimi nimepita hapo nimeona,ila hawa wasomi wa cku hz buree kabisa,yaan unataka kumaliza chuo bila kudefend research yako,kuna haja ya tcu kuangalia upya udahl wa hv vyuo vya kata!period
 
Hao mie hata cwasupport,mgomo wao hauna maana zaid ya kujiharibia wenyewe 2.
 
vyuo vya kata bana, sasa kama paper yakwako kwanini uogope kuidefend, inaonyesha wote wanaogoma wamedesa au wamefanyiwa hizo research zao.

fukuza wote hao anayetaka cheti 'defend' paper yako. kwanza kila mtu atadefend atapukuja chukua cheti kama hataki kwalale

bongo bana
 
Duh ni kweli hata mimi nimepita hapo nimeona,ila hawa wasomi wa cku hz buree kabisa,yaan unataka kumaliza chuo bila kudefend research yako,kuna haja ya tcu kuangalia upya udahl wa hv vyuo vya kata!period
khee! Chuo cha mipango ni chuo cha kata???
 
Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomslizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanatakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa
hapo kwenye red.Ndo matatizo ya kutumia madesa .Sasa wanachoogopa ni nini?Si wameziandaa wenyewe?Kwanza ni wazo zuri la kukujengea confidence mbele za watu na pia kujua kweli uliandaa mwenyewe au ni copy and paste ..
 
Hata hivyo wapo wachache waliokubali kutete taarifa za tafiti zao, binafsi naamini waliogomea Desertation ni wale VIHIO,maana kwa mtu aliyesoma kwa miaka 3 chuoni ukiachia mbali sekondari na kufanya utafiti kwa muda wa miezi 3 hawezi kugoma kutetea hoja zake kwa masaa 2 au 1 vingenevyo walisoma kwa kudesa. Hao nao watakuja kuwa wafanyakazi bora huku uraiani?
 
Duh!cpati picha hayo mambo yangeku udsm ingekuaje,maana pale cku ya presentation 2 wa2 wanajificha.
 
Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomslizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanafakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa
waache woga mbona sisi huju Asia ndio kawaida degree ni lazima udefend kwenye pannel,sasa hiyo wameintroduce Tz wanafunzi wanaigomea,hawana sababu za msingi za kugoma hapo mkuu.lazima wajifunze cofidence mbele ya watu.
 
Huu Ujinga sasa..yaan kudefend paper yako mwenyewe nako ugome ??..Nataka kujua tunaenda wapi kama Taifa..Mangapi hayamo kwenye katiba lakini tunayafanya kwa Maslahi ya UMMA..Wale Makamu Wawili wa Rais wa Zanzibar wamo kwenye Katiba ya Tanzania??..Lakini tunakubali kwa sababu ni jambo jema..hebu Mipango acheni Utoto..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom