Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki !
Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa kuanzia. Kiwe hata kikanda mfano; Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kusini, Kanda ya Kaskazini hii itafaa sana.
Napendekeza kiitwe Chuo cha Michezo Taifa. Hapa tuweke michezo yote iliyopo dunia hii. Tuwe na wataalamu, wanafunzi na waendeshaji wake. Tutapiga hatua haraka sana kama Taifa kwenye michezo.
1. Jiulize ni michezo mingapi leo hii ingekuwa na muundo mzuri na unaoeleweka vijana wa Taifa hili wangepata ajira.
2. Tungekuwa na maeneo ya kwenda kupunguzia misongo ya mawazo maana michezo ni tiba ya afya ya moyo na akili.
3. Utaongezea na wewe ndugu msomaji.
Karibuni.