Chuo cha mafunzo ya Library au Secretarial Studies

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
166
Naomba yeyote anayejua Chuo kwa ajili ya kusomea mambo ya Maktaba na Secretary kilichopo Dar es salaam anisaidie.Chuo kiwe kina usajili unaojulikana na kiwe na Hostel.Nahitaji kumpeleka binti yangu akajiendeleze.
 
mpeleke bagamoyo chuo cha slads

Tumaini university

School Of Library Archives and Documentation Studies(SLADS) wanayo campus Dar ipo pale jengo la maktaba kuu ya Taifa.
 
Kwa hapa Dar es salaam,hicho chuo cha SLADS kina Hostel za kulala Wanafunzi?
 
Naomba yeyote anayejua Chuo kwa ajili ya kusomea mambo ya Maktaba na Secretary kilichopo Dar es salaam anisaidie.Chuo kiwe kina usajili unaojulikana na kiwe na Hostel.Nahitaji kumpeleka binti yangu akajiendeleze.
Mpeleke records au procurements
 
Naomba yeyote anayejua Chuo kwa ajili ya kusomea mambo ya Maktaba na Secretary kilichopo Dar es salaam anisaidie.Chuo kiwe kina usajili unaojulikana na kiwe na Hostel.Nahitaji kumpeleka binti yangu akajiendeleze.

Level gani? Certificate, Diploma au Bachelor?
 
Back
Top Bottom