Jifunze Kunyoa
Member
- Mar 7, 2026
- 17
- 22
Wanafanya mazoez kwenye nin hapoHapa Wanafunzi wakifanya Mazoezi
Member wa Jf hamjawahi kuwa serious 😂🙌🏾Wanafundisha kwa vitendo kunyoa mavuzi?
Hizi ni teaching Boards,Maalum Kwa Kujifunzia,Pia Kuna Mannequins(Midoli) ya kujifunziaWanafanya mazoez kwenye nin hapo
Hapana Boss,Tunaongelea Barbering(Ukinyozi)Wanafundisha kwa vitendo kunyoa mavuzi?
Sawa, ShukranHili tangazo umeleta sehemu ambayo sio sahihi, peleka insta au facebook utapata watu, huku utaambulia kebehi na dharau na utoto mwingi, kama unabisha soma comment zilivyo
SawasawaHizi ni teaching Boards,Maalum Kwa Kujifunzia,Pia Kuna Mannequins(Midoli) ya kujifunzia
Shukran SanaIdea nzuri Kila la heri boss
Shukran SanaPongezi, mwanzo ni mgumu, ipe miaka 5 biashara itakuwa.