JF ya zamani ilikuwa ni darasa na taasisi iliyoweza kuwaelimisha na kuwasaidia members kuliko ilivyo hivi sasa. Mtu anaomba msaada halafu mwingine analeta mas' hara je tunazidi kuijenga au kuibomoa JF yetu ?kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..
JF ya zamani ilikuwa ni darasa na taasisi iliyoweza kuwaelimisha na kuwasaidia members kuliko ilivyo hivi sasa. Mtu anaomba msaada halafu mwingine analeta mas' hara je tunazidi kuijenga au kuibomoa JF yetu ?
Toa maaelezo ambayo yamekamilika dogo tukusaidie, je huna cheti cha form 4 kimepotea au hujawahi soma kabisa form four.?Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti cha form 4. Je, hili linaweza kukwamisha kutimiza ndoto zangu? Au wanaweza wakanikubali na kunipa nafasi wakiona juhudi zangu? Naombeni ushauri wenu. Ahsanteni.
kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..
JF ya zamani ilikuwa ni darasa na taasisi iliyoweza kuwaelimisha na kuwasaidia members kuliko ilivyo hivi sasa. Mtu anaomba msaada halafu mwingine analeta mas' hara je tunazidi kuijenga au kuibomoa JF yetu ?
Samahani Sihitaji kuolewa kwa sshv, na kama nikihitaji kuolewa basi sitotafuta mume hapa mtandaoni. Na kigezo cha Uzuri Mungu kanijaalia pia ndomana nikasema vigezo vyote ninavo isipokua hiko kimoja tu, ninachotaka ni msaada wenu na mawazo yenu sio kunisanif Kaka please usihukumu usiemjua, hujui Maisha yangu wala matatizo yangu, Kazi ni muhimu zaidi kwangu ndoa baadae ikifika muda aloniandikia Mungu.
kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..
Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti cha form 4. Je, hili linaweza kukwamisha kutimiza ndoto zangu? Au wanaweza wakanikubali na kunipa nafasi wakiona juhudi zangu? Naombeni ushauri wenu. Ahsanteni.
Huo mshahara uliosema unaweza kunilipa km inawezekana naomba unisaidie ajira km una biashara yako nikufanyie kazi niipate kwa njia halali na Mungu atakulipa. Asante.
Brother mambo ya kuwashusha thamani na kunyanyasa wanawake yamepitwa na wakati, kama una info mpe kama huna ni busara kukausha tu