fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
uginvi wa kibiashara tu hapa
uginvi wa kibiashara tu hapa
Mimi natumia ya Uvinza pekee... Maandalizi muhimu huyafanya mwenyewe sitaki shombo!!!
Kuna chumvi yenye shombo?
Chumvi aina ya Sea Salt inayotengenezwa Ubungo na Bagamoyo haifai kwa matumizi ya binadamu, imegundulika haina viwango na pia iodine hakuna. Mtambo wa kuwekea iodine imebainika umeharibika tangu mwaka 2001.
ina madhara kwenye mfumo wa uzazi hasa kwa wanaume.
Kutokana na ukweli kuwa kiwanda cha bagamoyo kinazalisha chumvi nzuri na kuiuza nje ya nchi, kile cha ubungo ndicho kinachotoa chumvi mbaya kwa ajili ya soko la ndani.
Meneja wa kiwanda hicho yuko ndani pale polisi Urafiki-Ubungo.
Kwa wanahabari fatilieni suala hilo ili kuwapatia wananchi wa TZ ambao ndo waaathirika wakubwa taarifa kupitia magezeti, redio na TV pia.
Iwapo unayo chumvi aina ya SEA SALT nyumbani, tupa ni hatari kwa afya ya familia yako.
Nawasilisha.
Hapa tumlaumu nani? Wananchi wenyewe hawana elimu ya kutosha ukichangia na umasikini kila mmoja wapo anatafuta zaidi unafuu afya baadaye. Na ni kwa mambo mengi yanayotuzunguka hatuna ulinzi nayo.
uginvi wa kibiashara tu hapa
asante kwa taarifaNawasihi sana ndugu zangu msitumie chumvi inayoitwa SEA SALT Tena ya hatari, baada ya laboratory test imeonekana imechanganywa na mchanga na ina madhara sana, meneja wake tumemuweka mahabusu pale urafiki na anatarajiwa kufikishwa mahakamani soon, ina madhara pia katika mfumo wa uzazi hasa kwetu sisi wana tezi dume.
Kama ipo nyumbani pleaaaase iondoe ni hatari jamani,itatuongezea wanaume wasioeleweka. Na chumvi hii haina hata iodine, tumekamata iodine test kit yake imesha expire toka 2001, Kiwanda chake kipo bagamoyo, huko wanatengeneza chumvi yenye ubora na viwango kwa lengo la kuuza nchi kama kenye, burundi, rwanda n.k,
alafu pale ubungo maziwa wana godown kubwa sana linalohusika na kutwanga chumvi locally, na package locally
Chumvi hii ndiyo inayouzwa nchini, ile bora wanauza nje, na inatengenezwa katika mazingira machafu sana.
Source:rafik yangu ndo waliomkamata.
Nawasihi sana ndugu zangu msitumie chumvi inayoitwa SEA SALT Tena ya hatari, baada ya laboratory test imeonekana imechanganywa na mchanga na ina madhara sana, meneja wake tumemuweka mahabusu pale urafiki na anatarajiwa kufikishwa mahakamani soon, ina madhara pia katika mfumo wa uzazi hasa kwetu sisi wana tezi dume.