fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Chumvi aina ya Sea Salt inayotengenezwa Ubungo na Bagamoyo haifai kwa matumizi ya binadamu, imegundulika haina viwango na pia iodine hakuna. Mtambo wa kuwekea iodine imebainika umeharibika tangu mwaka 2001.
ina madhara kwenye mfumo wa uzazi hasa kwa wanaume.
Kutokana na ukweli kuwa kiwanda cha bagamoyo kinazalisha chumvi nzuri na kuiuza nje ya nchi, kile cha ubungo ndicho kinachotoa chumvi mbaya kwa ajili ya soko la ndani.
Meneja wa kiwanda hicho yuko ndani pale polisi Urafiki-Ubungo.
Kwa wanahabari fatilieni suala hilo ili kuwapatia wananchi wa TZ ambao ndo waaathirika wakubwa taarifa kupitia magezeti, redio na TV pia.
Iwapo unayo chumvi aina ya SEA SALT nyumbani, tupa ni hatari kwa afya ya familia yako.
Nawasilisha.