Chumvi ya SEA SALT Hatari kwa Afya- Meneja wa Kiwanda Akamatwa

Duh! Itakuaje kwa sisi wala chipsi? Maana unawekewa chumvi kwenye sahani hata mfuko huuoni ili uchunguze ni chumvi aina gani
 
Niliambiwa jana na mama watoto kuhusu hili swala. Nilichokifanya nikapiga simu TFDA-mamlaka ya chakula na dawa. Nikapata fursa ya kumuuliza one of the Directors kama kuna ukweli kuhusu hili swala. Nikaambiwa kwamba ni uongo. Hiyo chumvi iko salama kwa matumizi ya binadamu.

Ushauri: Wananchi wenzangu tupende kufanya utafiti kabla ya kulaumu serikali na watendaji wake. Kuna mambo hayahitaji kuingiza siasa. Wengi humu tunauelewa na tuna simu..tupende kufanya utafiti kwa wahusika. Itatusaidia.

Asanteni.
Mkuu majibu yao uliyaamini kwa vigezo gani isije ikawa umejibiwa kisiasa.
 
Juzi TV zimeonesha chumvi hii, na kusema kiwanda kimefungiwa, so please this is confirmed
 
Mkuu majibu yao uliyaamini kwa vigezo gani isije ikawa umejibiwa kisiasa.

Asilete ubishi et kampigia mmoja wa wakurugenzi,Itv iliwaonyesha maafisa wa Tbs wakitangazia umma kwamba wamechukuwa sampo maduka tofaut na kuchukuwa chumvi kiwandani (sampo) na kuzipima nakubaina chumvi hii haifai kwa matumizi ya binadamu imekosa kiwango sahihi ya madini joto,.aende akaongee na tbs na co anampigia rafiki ake alie soma nae alafu et mamlaka ya chakula na dawa tofauti,wenye mamlaka ya kuthibitisha viwango ni tbs ww mtuuuuu!!!!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom