Chumbia binti mpenda vitabu


Mwandishi yupi unamfananisha na James Hadley Chase?
 
Nani ni best writer wa suspense now baada ya Sidney Sheldon kufa?

I'd say Lora Leigh, japo watu tunaresponse tofauti kwa uandishi tofauti, lakini waandishi huwa hawafi mkuu, huyu mzee alikuwa legend! mkuu kumbe na wewe ni mdau mkuu?!
 
Mwandishi yupi unamfananisha na James Hadley Chase?

JHC nimeanza kumsoma toka shule ya msingi, ndiyo hasaa chanzo cha kupenda novel, nikawa adict! Ian Flemin na JHC walinivutia sana toka najifunza kusoma!
 
JHC nimeanza kumsoma toka shule ya msingi, ndiyo hasaa chanzo cha kupenda novel, nikawa adict! Ian Flemin na JHC walinivutia sana toka najifunza kusoma!
Bado sijaona writers kama Sheldon na Chase
 
ha ha ha, usinichekeshe, lile paja s.kuku sitalisahau.

Unapenda msomaji? Mie neh, imagine nataka chezo afu mtu yuko bize na kitabu? Ntajikuta nimekula jalada bure.

Mtoto analia novel imekolea, unambandika plasta.

Au maisha ya kuunga unga milo miwili ya shida afu mtu akuletee novel ya kizungu, lazima imalize nguvu za kike/kiume.

Hizi zinaendana sana life style.

we mama! hee!

ngoja nije nikumbukizie kamfupa ka kuku ukumbuke kale kamsala kako enzi za ujana! lol.
 
Kuna Dean koontz...sijasoma but anasifiwa

Hahahaa, imebidi nicheke mkuu, muda si mrefu kuna mtu kaniomba nimtumie Odd Thomas, ni mwandishi mzuri lakini mimi hajawahi kunichota sana. Soma Odd Thomas mkuu.
 
Nikiwa na 5000 tsh tu hiyo hiyo ikawa njaa inaniuma halafu nimeona kitabu...i opt kitabu kuliko kununua chakula...i am bookish honestly speaking... #Ado watakaokuelewa ni wachache sana kwa sababu hatuna utamaduni wa kujisomea....natafuta riwaya mpya ya mzee ADAM SHAFI inaitwa MBALI NA NYUMBANI ajuae ntakapoweza kununua anambie!....KITABU NI SILAHA
 

safi sana.
 

Hahahaaa! lakin madam, kusoma si kila wakati bibie!

halafu kumbuka sex huwa iko kama involuntary action, kusoma utasoma weee lakin mwisho wa siku utakuja tu kujichomeka kwenye mpini...

mi napenda sana wanawake walioko flexible, wawazi kwa chochote kwangu, yani kama akihitaji huduma ananichana tu namgeia doz! sipendi mwanamke anaeugulia maumivu moyoni wakati kidume nipo...

Halafu... hm! hebu ngoja nipe pm! hapa padogo hatutacheza vizuri! lol.
 
hm! hm!

kweli nondo ziingie ukiwa na njaa mkuu?

labda sio science books..
 
Mimi ni Bwana Mpenda Vitabu (BwMV) akini lakini kuna kila dalili ya kuja kuoa msusi wa saluni. Maybe in the next life nitakutanishwa na BMV wangu..
 
nimesoma kwa miaka 21, nisome tena?

Labda kama tusome mambo 'kulainishana'.

Duh, anaanzaje kuogopa kuomba haki ya binadamu?

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…