Chumbani nako....

Huo usemi naona uko sawa. Maana hata hizi picha katika post zinaonyesha kitanda kipo katika side moja ya ukuta na siyo katikati. Pamoja na baadhi kuutukuza uzungu kwa decoration still hawajalitambua hili ktk hizo picha za design ya kimagharibi.
 
Dini yetu Wagagagigikoko

Wagagagigikoko ilikuwa kabila.

Alikumbana nayo Bulicheka na Lizabeta baada ya kusafiri na meza.

Kwi kwi kwi teh teh teh, umenikumbusha mbali sana.

Labda dini ilikuwa ya wale aliokumbana nao Umsolopagas, "wajivuni".
 
Hao waimba taarab wengi wao wamezoea hivi vyumba vyetu vya kibongo ambavyo ni vidogo sana. Mara nyingi kwenye hutu tuvyumba twetu inabidi nafasi itumike kwa ufanisi sana ndio maana wanasema hivyo. Lakini kwa wale wenye vyumba vya haja haina tabu unaweka popote tu.
 
kikiwa kati kinapendeza zaidi na kukupa urahisi wa kutandika
 
kwa kuwa ni taarabu nadhan mtakuwa mmekusana kwenye fasihi. Labda tujaribu kamusi hii then tuendelee kujadili. Chumba-Papuchi, kitanda-Dushelele. Kwa mantiki hiyo lazima kitanda kipitie ukutani ndo kutakuwa na raha na si katikati. Akina eva watusaidie hapa. Cc amu.
 
Wagagagigikoko ilikuwa kabila.

Alikumbana nayo Bulicheka na Lizabeta baada ya kusafiri na meza.

Kwi kwi kwi teh teh teh, umenikumbusha mbali sana.

Labda dini ilikuwa ya wale aliokumbana nao Umsolopagas, "wajivuni".
Hivui vitabu naweza kuvipata wapi jamani??
Mwenye nakala anipe ni scan then ntamrudishia
 
hayo ni mawazo yao ndivyo wanavyodhani binadamu tumetofautiana katika kupenda na kuchukia vitu, binafsi sioni tatizo kwa kitanda kukaa katikati ya chumba au ukutani ni mpangilio tu wa chumba mtu anataka uweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…