Chumbani nako....

Ukiweka kitanda katikati ya chumba kuna nafasi ndani ya chumba itapotea bure bila kutumika.....
 
ndugu hizo nyimbo za kileo ni majanga matupu kama taarabu yaani ni bora usikilize peke yako si na wanao , mfano huu wimbo unasema kuchapiwa mke ni siri ya ndani , unanikera sana maana kuna nyakati uko na mkeo na watoto huwa mara nyingi ukimya ndiyo unatawala kwa aibu tu
 
Inshu ya nafasi katika chumba,na kupendezesha chumba

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Aiseee kitanda kikiwa kizuri kikikaa katikati ni bonge la decoration I tell you. Hayo mambo ya nafasi ni koz tu ya ujenzi wetu wa kibongobongo.

Changu pamoja na udogo wa chumba ila kipo kati sema ndo ivo nna mpango wa kukiuza ninunue kingine chenye urembo zaidi.

 

Mbona hata hicho kipo ukutani?
 
sababu ya udogo wa chumba na mila zetu eti unapojenga chumba kisizidi ukubwa 10x10 kama ni cha ukubwa wa 15x15 kwa nini nisiweke katikati
 
sababu ya udogo wa chumba na mila zetu eti unapojenga chumba kisizidi ukubwa 10x10 kama ni cha ukubwa wa 15x15 kwa nini nisiweke katikati

ndio mana hatuendelei miafrica mweh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…