Chumbani kwa dereva wa bajaji

Chumbani kwa dereva wa bajaji

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
Mida flan ya sa tano nilipanda public transport kutoka studio kwenda kinondoni B.
Gari ilikuwa na watu wachache kama wawili.
Mbele yangu alikaa dada mmjoa kavaa kiheshima sana na ni mzuri. (Model)
Akawa anahangaika sana anabana miguu anajilamba lamba lips.

Nilikaa mbele yake ikabidi nirudi siti ya nyuma niangalie kuwa anasoma nini hadi akahangaika hivyo hadi anajisahau?

Nikafanikiwa kuona anasoma riwaya ipo kwenye gazeti moja la udaku inaitwa " chumbani kwa dereva wa Bajaji"

Hii ni hatari.. Wanasaikologia mnaweza kutusaidi kuwa dada alinogewa tu na maandishi au?
Kumbe wadada nao maandishi yanawapagawisha kama wanaume.
Basi mimi nikashuka zangu B nikazama ben pub kuendelea na shughuli zangu.
Kila la heri dada.
image.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom