Chumba Master kinapangishwa Kimara Baruti DSM

Chumba Master kinapangishwa Kimara Baruti DSM

Mbezi maeneo gani kwenye compound kuna wapangaji wangapi?
Mbezi mwisho, ziko tano kwenye compound ila kila moja inajitegemea umeme na maji, pia kila moja ina tank lake la maji, kama unavyoona picha
20180927_172939.jpeg
 
Naweza kujua bei ya chumba na sebule Makongo juu
 
Hizi nyumba zina uzio? kuna mlinzi ama? naomba details zaidi
Du mkuu mlinzi tena? uzio upo! mlinzi hakuna! na pia naona tangia majuzi unaulizia hapa, labda nikuambie mkuu nyumba nzuri na hasa ikiwa mpya haikai mkuu, namba zipo hapa naamini mtu mwenye uhitaji wa kweli hasubiri mpaka ajibiwe comment hapa jf, Hizo nyumba zote zimeshajaa! zote zimepata watu! kama ukihitaji nyumba nichek nikipata nitakutumia na picha na maelezo ukiridhia unakuja kucheki, biashara ya wiki nzima hapa kwenye comments kweli ni biashara?
"Miss Madeko punguza kudeka"
 
SAMAHANI SANA MKUU KAMA NIMEKUKWAZA... NISAMEHE
 
SAMAHANI SANA MKUU KAMA NIMEKUKWAZA... NISAMEHE
Hapana hujanikwaza mkuu! nilikufafanulia tu mkuu nyumba nzuri na hasa mpya hazikai, kuna zingine biashara inaisha hata nyumba haijaisha! means tangia juzi ungenichek huenda ungepata kati ya hizo! mana ya mwisho imelipiwa jana jioni, Hujanikwaza mkuu nasikitika tu nimekukosa mteja japo nyumba zipo sema tu unataka nini na vigezo vyako, kama ninayo hapa nakutumia au nakutafutia ya matakwa yako then nakutumia! Hapa kwenyewe nipo makabe huku na mteja wa hapa jf hope wkend itakua njema 😊😊
 
Kuna chumba kingine kimepatikana kwenye hizi master,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom